Afisa
kilimo Mkoa wa Mbeya (Aliyevaa tai) akipokea maelezo ya kilimo cha
mboga ndani ya hema maalumu ya kuoteshea nyanya iliyowekwa na Barton
Tanzania kwa ushirikiano na TAHA katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya
Afisa
Kilimo na Msimamizi wa ofisi ya TAHA ukanda wa Nyanda za Juu Kusini Bw.
Ringo (Mwenye Jaketi jekundu) akifafanua juu ya matumizi bora ya
teknoloji za kisasa kwenye kilimo cha mboga ili kuongeza tija kwa
Mkulima katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya
Mtaalamu
wa Kilimo wa TAHA Bw. Anania Bansimbile akiwaonyesha wananchi namna
bora ya kuotesha mimea ya mboga kabla ya kupandwa shambani katika
viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya
Chainizi iliyopandwa kwa ustadi wa hali ya juu
Hema maalumu(greenhouse) la kuoteshea mazao yanayohitaji joto ili yaweze kustawi vizuri
Plot ya TAHA na mshirika wake Barton kama inavyoonekana katika picha
Plot ya TAHA na mshirika wake Barton kama inavyoonekana katika picha
Karoti iliyovunwa kutoka katika vitalu vya TAHA kwa ajili ya maonesho ya wakulima katika viwanja vya Nanenane Mbeya
Wananchi
wakipewa elimu lishe kuhusu umuhimu wa matumizi ya mboga kutoka kwa
mtaalamu wa masuala ya lishe wa TAHA Bi. Lawrencia wakati wa maonyesho
ya Nanenane Mbeya
Mtaalamu akimuelekeza jambo Mkulima aliyetembelea Banda la TAHA
No comments:
Post a Comment