MD Digital

Saturday, July 18, 2015

AMON MPANJU ARUDISHA FORM YA KUMKABILI HALIMA MDEE JIMBO LA KAWE

Ikiwa zoezi la uchukuaji na urejeshwaji wa form za kuomba ridhaa ya vyama mbalimbali kuwania nafasi ya ubunge na udiwani linazidi kushika kasi naye aliyekuwa mwenyekiti wa shirikisho la watu wenye ulemavu nchini Tanzania AMON MPANJU amejitosa katika kinyanganyiro hicho kuwania nafasi ya ubunge ndani ya jimbo la kawe jijini Dar es salaam.

Aliyekuwa mjumbe katika bunge maalum la katiba Tanzania ambaye ni mlemavu wa kuona  AMON MPANJU leo akikabidhi form kwa katibu wa ccm wilaya ya kinondoni bwana ATHMAN SALUM SHESHA mapema leo.
Mapema leo katika ofisi za makao makuu ya ccm kinondoni Bwana MPANJU alirejesha form ya kuwania ubunge katika jimbo la kawe ambapo akizungumza na wanahabari baada ya kurejesha form hiyo alisema kuwa lengo la kutaka kuwa mbunge wa jimbo la kawe ni kutokana na dhamira ya dhati aliyonayo ya kutumia taaluma yake ya uanasheria katika kuwasaidia watanzania hasa waishio katika jimbo la kawe.
AMON MPANJU hapa akisaidiwa na mpambe wake kutia saini katika form zake kabla ya kuzikabidhi rasmi

AMON MPANJU ambaye nyote yake ilingara wakati aliupopata nafasi ya kuwakilisha katika bunge maalum la katiba wakati wa uundwaji wa katiba mpya amesema kuwa lazima watanzania watambue mchango wa watu wenye ulemavu kama yeye na walemavu wengine na kuwapa nafasi katika maswala ya uongozi kwani walemavu ni watu makini na wanaweza kushiriki katika maswala mbalimbali ya kulijenga taifa.

AMON MPANJU akizngumza na wanahabari mbalimbali waliofika kushughudia akirejesha form leo
Ameongeza kuwa sasa ni wakati wa watanzania kuacha kuchagua mtu kwa kufwata mkondo na badala yake ni muda muafaka wa watanzania kuchaguz viongozi ambao watawasaidia katika kuwaletea maendeleo huku akijinasibu kuwa yeye ni mmoja wao.

Amesema kuwa wananchi wa kawe wakimpa nafasi yeye kuwa mbunge wa jimbo hilo atahakikisha kuwa maswala yote yanayohusu maamuzi ya wanakawe dhana ya ushirikishwa wa wananchi wote itatumika ili kila mwana kawe anufaike na rasilimali zake.

Aidha katika hatua ninyine AMON MPANJU amewaomba watanzania hususani wanakawe kuhakikisha kuwa wanajitokeza kwa woingi katika uandikishwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura zoezi ambalo linataraji kuanza siku terehe 22 mwezi huu katika mkoa wa Dar es salaam ili waweze kuwa na fursa ya kuchaguz viongozi wanaowataka.

Mwanaharakati huyo akiondoka katika ofisi za CCM kinondoni baada ya kumaliza zoezi la urejeshaji wa form

AMON MPANJU anajitosa katika jimbo la kawe huku kukiwa na upinzani mkubwa wa wana ccm  zaidi ya 20 ambao nao wanawania ubunge katika jimbo la kawe huku upande wa upinzani ikiwa bado upinzani mkubwa ni kutoka kwa mbunge wa sasa wa jimbo hilo HALIMA MDEE kutoka CHADEMA.

MAMIA WAMPOKEA MAGUFULI MWANZA

 Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi jioni ya leo.
Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake,nje ya ofisi za CCM mkoa,ambao walijotokeza kumlaki kwa shange na furaha kubwa.Dkt Magufuli amewasili leo jijini Mwanza akitokea jijini Dar kwa ajili ya kujitambulisha kwa wanachama wa chama hicho pamoja na wananchi kwa ujumla.
 Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi alipokuwa akiwasili jijini Mwanza jioni ya leo akiwa ameambatana na baadhi ya viongozi wa juu wa chama cha CCM,Magufuli yuko jijini Mwanza kujitambulisha kwa Wananchi.
 Mke wa Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi Dkt.John Pombe Magufuli,Mama Janeth Magufuli akiwasalimia Wakazi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake waliojiotokeza kwa wingi kuwapokea,Pichani kulia ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye. 
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha kwa wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake,nje ya ofisi za CCM mkoa wa Mwanza.
 Baadhi ya Wananchi wakilikimbiza gari la  Mgombea Uraisi CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli kwa shangwe kama waonekanavyo pichani ,wakati Magufuli lipokuwa akiwasili jijini Mwanza kwa ajili ya kujitambulisha kwa wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi kwa ujumla jioni ya leo.
 Baadhi ya Wananchi wa jiji la Mwanza wakiwa wamefunga barabara kwa muda wakishangilia ujio wa  Mgombea Uraisi wa CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili jijini Mwanza kwa ajili ya kujitambulisha kwa wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi kwa ujumla jioni ya leo.
 kuna wengine waliacha kazi kwa muda kama hizi na kuja kwenda kushangilia ujio wa Mh.Dkt John Magufuli
  Wananchi wa Passians wakimpokea na kumshangila Mgombea Uraisi CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili jijini Mwanza kwa ajili ya kujitambulisha kwa wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi kwa ujumla jioni ya leo.
 Baadhi ya Wanahabari wakiwa kazini.
  Wananchi wa eneo la kona ya Bwiru wakiwa wamezuia  msafara wa Mgombea Uraisi CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili jijini Mwanza kwa ajili ya kujitambulisha kwa wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi kwa ujumla.

    Mgombea Uraisi CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh.Magesse Mulongo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa jiji hilo mapema leo mchana,kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu.
    Mgombea Uraisi CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mh John Monela mara baada ya katika uwanja wa ndege wa jiji la Mwanza mapema leo mchana.
   Mgombea Uraisi CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli alisalimiana na wafuasi wa chama hicho wakiwemo viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mwanza,alipowasili katika uwanja wa ndege wa jiji hilo mapema leo mchana.PICHA NI MICHUZI JR-MWANZA

Wednesday, July 15, 2015

SAMIA SULUHU, WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO) AWAAGA NA KUWASHUKURU WAFANYAKAZI WENZAKE OFISI YA MAKAMU WA RAIS. Inbox x

 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati  wa mkutano maalum wa kuwaaga na kuwashukuru  wafanyakazi wenzake.  uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa mukutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam.

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisoma kadi yake ya kumpongeza kwa uteuzi baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi  Salula (kushoto)  wakati wa mkutano maalum wa kuwashukuru wafanyakazi wenzake uliofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam. 
 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati  wa mkutano maalum wa kuwaaga na kuwashukuru  wafanyakazi wenzake.  uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa mukutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam.
 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula, wakati alipokuwa akipokelewa alipowasili Ofisini kwake kwa mara ya kwanza tangu alipoteuliwa kuwa mgombea mwenza. Baada ya kuwasili Ofisini, Samia alikutana na wafanyakazi wenzake na kuwashuku kwa kufanya kazi pamoja kwa muda mrefu hadi kufikia uteuzi huo.
 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisalimiana na wafanyakazi wa Ofisi ya makamu wa Rais, wakati alipowasili Ofisini kwake kwa mara ya kwanza tangu alipoteuliwa kuwa mgombea mwenza. Baada ya kuwasili Ofisini, Samia alikutana na wafanyakazi wenzake na kuwashuku kwa kufanya kazi pamoja kwa muda mrefu hadi kufikia uteuzi huo
 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisalimiana na wafanyakazi wa Ofisi ya makamu wa Rais, wakati alipowasili Ofisini kwake kwa mara ya kwanza tangu alipoteuliwa kuwa mgombea mwenza. Baada ya kuwasili Ofisini, Samia alikutana na wafanyakazi wenzake na kuwashuku kwa kufanya kazi pamoja kwa muda mrefu hadi kufikia uteuzi huo.

  Baadhi ya wafanyakazi wakipiga picha ya kumbukumbu na Mhe. Waziri samia.
  Baadhi ya wafanyakazi wakipiga picha ya kumbukumbu na Mhe. Waziri samia.
  Baadhi ya wafanyakazi wakipiga picha ya kumbukumbu na Mhe. Waziri samia.
 Mkurugenzi Rasilimali watu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Dush-ood Mdeme, akizungumza kabla ya kumkribisha Kaitibu Mkuu, kuzungumza na kumkaribisha Waziri Samia kuzungumza.
 Mkurugenzi Rasilimali watu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Dush-ood Mdeme, akizungumza kabla ya kumkribisha Kaitibu Mkuu, kuzungumza na kumkaribisha Waziri Samia kuzungumza.
 Mkurugenzi Rasilimali watu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Dush-ood Mdeme, akizungumza kabla ya kumkribisha Kaitibu Mkuu, kuzungumza na kumkaribisha Waziri Samia kuzungumza.
 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati  wa mkutano maalum wa kuwaaga na kuwashukuru  wafanyakazi wenzake.  uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa mukutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam.
 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati  wa mkutano maalum wa kuwaaga na kuwashukuru  wafanyakazi wenzake.  uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa mukutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakiteta jambo kwa furaha wakati wa mkutano huo.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakimsikiliza Waziri Samia, wakati akizungumza nao kuwashukuru, katika kikao maalum kilichofanyika Ofisi ya Makamu wa Rais leo. 

 Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula, akizungumza kabla ya kumkaribisha Wziri Samia, kuzungumza.
 Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula, akizungumza kabla ya kumkaribisha Wziri Samia, kuzungumza.
 Waziri Samia, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais baada ya kuwasili Ofisimi hapo leo. 
 Waziri Samia, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais baada ya kuwasili Ofisimi hapo leo. 
 Waziri Samia, akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vitengo wa Ofisi ya Makamu wa Rais baada ya kuwasili Ofisimi hapo leo. 
 Waziri Samia, akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa NIMR
Waziri Samia, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais baada ya kuwasili Ofisimi hapo leo.

Tuesday, July 14, 2015

BARAZA LATAIFA LA UWEZESHAJI NA BENKI YA POSTA WASAINI MAKUBALIANO KUWAINUA WANA VIKOBA KIUCHUMI

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, (NEC), Beng’ Issa, (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Benjki ya Posta, Sabasaba Moshingi, (wapilia kulia), Rais wa VICOBA Endelevu Tanzania, Devota Likokola, (wapili kushoto), Mwanasheria wa Benki ya Posta Tanzania, Mystica Mapunda Ngongi, (wakwanza kulia), wakiwa wameshikana mikono baada ya benki hiyo kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano kati ya baraza na benki hiyo, katika kuwawezwesha wana VICOBA kiuchumi. Hafla hiyo ilifanyika leo Julai 14, 2015. kwenye ukumbi wa wizara ya fedha jijin I Dar es Salaam.
 BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, (NDC), na Benki ya Posta Tanzania, (TPB), wamesaini makubaliano ya ushirikiano wa kuwawezesha wanachama wa VCOBA nchini.
Akizungumza wakati wa hafla ya kutiliana saini makubaliano nhayo kwenye ukumbi wa wizara ya fedha jijini Dar es Salaam leo Julai 14, 2015, Katib u Mtendaji wa baraza hilo, Beng’ Issa, alisema, Katika juhudi za kuwawezesha watanzania kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji na kuendeleza ujasirimali nchini, Serikali kupitia Sheria ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ya mwaka 2004, ibara ya IV, sehemu ya 16  iliagiza  uanzishwaji wa Mfuko wa Taifa wa Uwezeshaji Mwanachi yaani ‘’Mwananchi Empowerment Fund,”.

“Katika kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa mitaji yenye gharama nafuu kwa wajasiriamali nchini, Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi limesaini hati za makubaliano na Benki ya Posta Tanzania katika kusimamia udhamini wa mikopo  yenye masharti nafuu kwa makundi  mbali mbali  ya wajasiriamali nchini yanayokidhi masharti husika.” Alisema Beng’i.

Mfuko huu utakao simamiwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ni pamoja na kutoa fursa kwa wananchi katika makundi au mtu mmoja mmoja kupata mitaji ya kuwekeza kwenye miradi ya kiuchumi kupitia mikopo ya moja kwa moja au udhamini (direct lending   or guarantee system).

Ili kutimiza azama hiyo baraza limeamua kushirikiana na benki ya ;posta Tanzania ambayo ina mtandao mpana, kutekeleza azma hiyo ambapo wananchama wa VICOBA, watapata mikopo na mafunzo kutoka benki ya posata.

Kwa aupande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi, alisema, benki yake  ni benki ya wananchi na hivyo unayo furaha kubwa kushirikiana na NE, ili kuwakwamua wananchi kiuchumi kwa kupata mikopo itakayowazsaidia kuendesha shughuli zao za kiuchumi.
“Benki ya Posta inayo furaha kubwa kushirikiana na Baraza hili ili kuwawezesha wananchi wengi zaidi kupata huduma za kifedha kwa gharama nafuu kupitia mpango huu.” Alifafanua Moshingi.

Alisema, Benki ya Posta inaamini kuwa hii ni fursa muhimu kwa vikundi hivi visivyo rasmi  kufungua akaunti na kuweka fedha zao mahala salama. Hili litawawezesha kufanya shughuli zao kwa ufanisi zaidi, na hatimaye wataweza kupatiwa mikopo nafuu kwa ajili ya kukuza biashara zao. Hadi sasa Benki imefungua zaidi ya akaunti 340 za vikundi. Vikundi hivi vitafaidika pia na huduma ya TPB POPOTE, itakayo wawezesha kupata huduma za kifedha popote pale walipo.
 
 Katibu Mtendaji wa NDC, Beng'i Issa
 
 Mkurugenzi Mtendajin wa TPB. Sabasaba Moshingi
 Moshingi, (kulia), Beng'i(katikati) na Lokokola, wakibadilishana mawazo mwishoni mwa hafla hiyo
 
 Devota akishukuru Mungu, baada ya kufikiwa makubaliano hayo ambapo wanachama wake ni wafaidika wakubwa
 Picha ya pamoja, Viongozi wa TPB, NDC, na Vicoba endelevu, wakiwa katika picha ya pamoja na waliohudhuria hafla hiyo